Miaka kama miatatu iliopita watanganyika wengi walifanyika watumwa na wazungu waliotoka katika mabara za mangharibi na mengineyo.Wazungu waliwanyang'anya watanganyuka mashamba yao kwa nguvu na kisha kuwatumikisha juu ya aridhi yao.Hii hali iliwatia machungu watanzania mpaka wakaamua kupigania uhuru wao,Katika mwaka 1922 Mwalimu Nyerere alizaliwa kisha hapo badae alipokua ilikua katika kilele chakupigania uhuru wa Tanganyika ambao ulikuja kupatikana mwaka 1963.
Haikuwa hinyo tu bali mpaka kisiwa cha Zanzibar kilipata uhuru kupitia msahada wa Tanganyika,hapo ndipo ikapatikana nchi hiitwayo Tanzania ambayo tunaishi leo kwa amani,upendo na umoja.Tuipende nchi yetu ya Tanzania na kisha tuilinde zidi ya maadui walio ndani na njee...
No comments:
Post a Comment