QM concepts ™: MWASITI ALMAS (Tiger Lady)

MWASITI ALMAS (Tiger Lady)

Mwasiti mwanamziki mkali sana wakike nchini Tanzania. Mashambulizi yake ya mziki
nimakubwa sana. Katika nyimba yake ya "niambie rafiki" nimoja wapo ya nyimbo ilio mtoa kistar sana dada huyu. Kwaufupi Mwasiti nikichwa sana katika ulimwengu wa mziki, napenda sana sauti yake na mashairi yake yanavutia mnoooooooooooooo!!!
She is also an African cute lady who has dignity that makes her liked alot by her funs...Mwasiti congs my sister and keep it up alwayz..

No comments:

Post a Comment

Copyright © QM concepts ™ Urang-kurai