QM concepts ™: JOHMAKINI mwamba wa kaskazini..

JOHMAKINI mwamba wa kaskazini..

Johmakini mwana harakati mkali wa HIP HOP nchini T a n z a n i a atokae katika mji wa Arusha aka A-town , nimwanamziki alienakipaji cha mziki kilicho deep ile ile . Mwana Hip Hop huyu anatisha sana katika game zima ya Hip Hop. Hip Hop is his life M i c inamrepresentate ndani ya game...

No comments:

Post a Comment

Copyright © QM concepts ™ Urang-kurai