Pages

Pages

Wednesday, June 30, 2010

THE WRONG WEAR FASHION...( qim manifester)


Meet Qim Manifester in his wrong wear fashion..

Sunday, June 27, 2010

JOHMAKINI mwamba wa kaskazini..

Johmakini mwana harakati mkali wa HIP HOP nchini T a n z a n i a atokae katika mji wa Arusha aka A-town , nimwanamziki alienakipaji cha mziki kilicho deep ile ile . Mwana Hip Hop huyu anatisha sana katika game zima ya Hip Hop. Hip Hop is his life M i c inamrepresentate ndani ya game...

Thursday, June 24, 2010

Wednesday, June 23, 2010

Gaspar Mrosso.



Hip Hop wall is a unique design which is so much admired...Ur welcome to the world of wall spraying...

Floxy Shukriyah



There is power in ur eyes..learn about that my dear African sisters...

Eyes tell a lot about someone. Her eyes tells us about her beauty...

THE 5's.


Full kujiachia.....Yeah THE 5's....

Monday, June 21, 2010

JOSIANNE UMINEZA

Her styles are so fly.. Her eyes portray the beauty of Africa,Her nose portray the unique climate of Africa and her lips portray the peace atmosphere of Africa...God thanx for making me an African....
The beauty of African ladies is like a shining diamond. Ooooh God bless Africa zillion times..

Saturday, June 19, 2010

AKALIZA ANNA ..african beauty


God has bless Africa, the beauty of Africa is carried up by our beautiful sisters who are wonderful and fearful created by God...

ANNA ROBYN DAUD.


She is just so beautiful, and her beauty is unexplainable. God bless Africa...

Moses in the next level of Technology.

Technology has made the world of today to be like a village. Communication,Transportation and among other means of communication have been improved by the help of Technology. It is God who made this happen and he is above the human Technology...

BEBE COOL..

Bebe Cool is one of the hottest Ugandan musician i have ever come across with, His music life has made him more successful in his daily life. Bebe Cool's music style has made him penetrate easily on the East African game of music. He has manage to get a lot of awards in and of East Africa.

Friday, June 18, 2010

Our services

We design all kind of digital work and print them at a reasonable price. We design things like
- Logos,
-Posters,
-Business cards,
-Calenders,
-Flyers,
-Photos,
-Move covers,
-Album covers,
-banners,
-Billboards,
-Cards,
-Certificates,
-Headed papers,
-Wallpapers,
-Icons,
-3D models,
-Etc.

Other services we deal with are;
-Web designing,
-Computer maintenance,
-Data base management,
-Blog designing,
-T-shirt printing,
-Photography,
-Modeling photography concepts,
-Etc.

--------------------------------------YOUR ALL WELCOME ------------------------------------

Thursday, June 17, 2010

J - sisters.


God gave them unique things,voice,beauty,smart brain,discipline among others.
J - sisters, the daughters of God, have done a lot in there ministry of singing gospel music, which has really touch many peoples life's.." Ooooh God bless them more and more in everything they do Amen!!! "

Wednesday, June 16, 2010

Umaarufu huanzia ndani ya moyo wako



Watu wote wanaochipukia kuwa maarufu hujitolea sana katika fani zao. Yapaswa kuwa mwangalifu sana kama wewe ni mtu maarufu maana jamii inaiga mambo mengi toka kwako, kuanzia life style yako, tha way unavaa,etc. Please be smart when ur heading to be a superstar...

Saturday, June 12, 2010

Qim Manifester's target point..


Every target u make has an impact in ur lyf.
Don't giv up on ur way, just knw all ups and downs
that ur getting thru are to strengthen u....

Qim Manifester's logo.



Lets fly coz the ground is not ours anymore.Everyday is a new day that God has made it for us...

Harry the Swagger master.


Haya ni maisha falani youth huwa wanafeel sana kuyaishi katika pembe zote za dunia.
Kuswagger nimoja wapo ya starehe ambazo vijana wadogo na esp'ly wenye hela sana wanapenda kuyaishi. I dont blame youth for this, coz it's a kind of a culture which is already part of them... Swagger like thissssss......

Friday, June 11, 2010

Moses the Golden star.


Beaning a GOLDEN STAR it start from within,then later it will be automatically
all things to be exposed themselves outside. God gave everyone his/her golden star,now go and manifest ur golden star before u die with it.

Mary.. nipe 5.


Nafeel sana ladyz wenye michongo na mapozi ya kisela kama hii.Saluti kubwa sana kwako dada Mary....

Wednesday, June 9, 2010

Qim Manifester's Magazines.



Well this is now a new world of entertainment threw reading and enjoy viewing all kind of photo edits.Ur all welcome and soon the mag will be on ur hand just at a reasonable prize...

Lady Jay Dee.


Lady Jay Dee nimoja ya mwanamziki ambaye anamafanikio makubwa sana katika safari yake ya mziki.Mwanadada huyu ana heshima yake ilio yakipekee sana,ni kioo cha jamii yetu haswa kwa upande wa kina dada,ndoa yake pamoja Mr Gadner G Habash nindoa ilio simama na ya kupendeza. Mungu aibariki ndoa yao milele amina...

Mrs. Maria Ngowi mama mjasiriamali maarufu nchini Tanzania.


Mama Maria Ngowi ni mmoja ya wajasiriamali maarufu sana nchini Tanzania, safari yake ya ujasiriamali ilianzia alipakuwa shule ya msingi katika mkoa wa Kilimanjaro.Historia yake kwa ufupi anasema
“Nilianza kuuza matunda nyumbani kwa dada yangu na kaka zangu. Sikuishia hapo tu nilitengeneza pia vitu ambavyo vilitengenezwa kwa nyama, iliyokaangwa kwa vitunguu vya majani na pilipili kwa watu wazima na ambayo haikuwa na pilipili kwa watoto, hiyo nyama iliyokaangwa ilikuwa inafungashwa na chapati laini, na kisha kutumbukizwa kwenye mafuta ya moto, kitafunwa, hiki kilikuwa kinatembezwa kwenye nyumba za jirani zipatazo 15 kabla ya saa 12.30 asubuhi, kitafunwa hiki kilijulikana kwa jina la sombiro, inassemekana kwamba, sombiro zenye pilipili zilisambazwa jioni saa 11.00 kwa walevi kilabuni.
Kitafunwa hiki kilizoeleka sana na wenyeji wa pale kiasi kwamba siku kikikosekana ilikuwa ni matatizo kwa wale watumiaji, na pia Maria anasema kitafunwa hiki kiliweza kumpatia pesa nyingi kiasi cha kulipa ada ya shuleni,chakula na matumizi mengine ya nyumbani kama sukari mboga na kadhalika. Biashara hii ilikoma pale alipofaulu kuingia seckondari ya Weruweru kwani hapakuwepo na mtu wa kuiendeleza.
Wakati akiwa sekondari aliweza kujiunga na miradi ya shule yaani utunzaji wa ngombe wa maziwa na utunzaji wa kuku wa nyama na mayai. Maria anasema kutokana na hali halisi ya nyumbani kwao haikuwa nzuri kiuchumi ilibidi awe anabaki shuleni wakati shule zimefungwa na kufanya kazi kwenye mradi wa ngombe na wa kuku ili apatiwe mshahara ambao ulimwezesha kumudu misha yake ya shule. Anasema anamshukuru mwalimu aliyekuwa mkuu wa secondary ya Weruweru wakati huo aliyeweza kumpatia ajira hiyo ambayo alikuwa anamlipa kima cha mishahara ya serikali Tshs. 380/= za mwaka 1977 zilikuwa zinamtosheleza sana kwa mahitaji yote ya shule.
Ni wakati huo ambao Maria anasema aliweza kufungua akaunti yake katika benki ya nyumba na akatunza fedha hizo zikamsaidia mpaka alipokuwa anajiunga na Chuo cha ufundi Dar es salaam Tech. College. Akiwa chuoni hakufanya biashara yeyote kwani walikuwa wanalipwa posho na serekali na kila walipokwenda viwandani kufanya mazoezi (field) alikuwa anapata posho mbili ile ya serikali nay a pale kiwandani.
Alipomaliza chuo alijiunga na jeshi kwa mujibu wa sheria ya Tanzania wakati ule na alianza biashara nyingine ya vitafunwa ambayo ilikuwa ni kuchemsha mihogo na kuuza. Jeshini huwa wanapewa mapumziko saa 11.00 jioni na alitumia mapumziko haya kukimbia kijijini Lusonga na Magagula huko Songea yeye na rafiki yake kununua mihogo na kisha kuichemshia jirani kwa mke wa afande mmoja aliyekuwa jirani na hanga letu. Mihogo hiyo ilikuwa inamenywa jioni na kisha kuchemshwa asubuhi saa kumi ya usiku na kuaza kuuzwa saa 11.00 asubuhi kwa wenzetu na baadaye hata maafande waliinunua bila kujua chanzo cha biashara hiyo.
Maria anaishukuru sana serekali kuwapitisha kwenye mkondo wa jeshi wakati huo kwani aliimarika zaidi na kutotishika na hali yeyote hata ingekuwa ngumu kiasi gani.
Mbali na kuuza mihogo alitumia ustadi wake wa kusuka nywele na kuanza kusuka matroni wa jeshi mke wa mkuu wa kikosi na maafande wengine wanawake waliokuwa na vyeo, hii ilimwondolea kula kwa mstari wa kugombania na kuanza kula chakula kule alikokuwa anasuka nywele. Kipato chake kilikuwa kinaendelea kuwa kizuri kiasi ambacho alipotoka jeshini na kuanza kazi alimudu maisha ya nauli na chakula kwa miezi miwili ya kwanza akisubiri jina lake liingie kwenye pay roll ya serikali.
Mama huyu anatuasa vijana tuwe na utayari wa kukabiliana na maisha tusiwe tegemezi.“Kuwa mjasiriamali kunaitaji kuwa mbunifu, mwenye hekima, mtu aliyeteyari kupambana na aina ya changamoto zozote ili kupenya katika ulimwengu huu wa leo.
Vijana wadogo nawasihi kuutumia muda wenu vizuri sana katika mambo muhimu yakujenga maisha yenu na sio kutumia muda wenu mwingi kubonyezabonyeza simu yaani vimeseji vyote vya Extream badala ya kufikiria vitu vitakavyowasaidia hapo baadaye, hii inasababisha kutoupa ubongo wako kuwe na mapana yakufikiria mambo muhimu kwa upana zaidi.”
. Kila muda unaoupoteza ni lazima utakuja kuujutia au atajisababishia omba omba na kuilalamikia serikali ambayo haijakunyima chochote ila umejinyima mwenyewe.
Kila binadamu kapewa masaa 24 tu kwa siku angalia sana masaa yako unayatumiaje?
Hivi leo mama Maria Ngowi anaendelea na harakati zake za ujasiriamali na kuwafundisha vijana mashuleni,na vyuoni akiwafundisha vijana na kuwaimiza kuwa wajasiriamali katika maisha yao. “Vijana msitegemee sana kuajiriwa, inawezekana kujiajiri wenyewe au hata kama mkiajiriwa muweze kutoa huduma nzuri inayoridhisha.
Mwisho mama huyu anashauri vijana kuulinda utu wao ni muhimu sana, bila nidhamu, utu wema na kumcha Mungu, mtapata hasara nyingi na hata kufikia kupoteza maisha haraka kabla hujafanya kile Mungu alichokutuma duniani.
Kila binadamu aliyekuja hapa duniani ana kazi au (assignment) aliyopewa na Mungu, ni lazima uitafiti uijue na kisha ufanye ipasavyo, la sivyo utafanya kazi za wenzio, utachokea kisichokusaidia na siku yako ya mwisho utakuwa huna kazi ya kuonyesha.
Maisha safi ni silaha kubwa ya kujijengea ujasiri, heshima na ufahamu mzuri. Kila kijana ajitahidi awe na mshauri mzuri mwenye maadili ili akusaidie usije ukajuta baadaye. Wengi wanajuta kwa yale waliyofanya ujanani na sasa wanavuna majuto . usingoje upate majuto la hasha tengeneza maisha yako vizuri ili ule matunda mazuri mbeleni. Kumbuka kila mbegu mbaya unayoipanda utaivuna punde, basi jitahidini kupanda mbegu nzuri.
Mungu awabariki kwa kuzingatia wosia huu.”
Baada ya kumsikiliza mama huyu mimi mwenyewe niliamua niyazingatie haya aliyosema, ameniahidi kipindi kijacho atanieleza ni namna gani, au siri kuu saba za mtu kuishi maisha yenye mafanikio.

Contact us

Tel : (+255) 717 931111
: (+256) 776 931111

Email : qm.concepts@yahoo.com

About us.

QM concepts is a graphix company, which deals in all kind of digital art to meet our clients desires.

Our work is of high quality (HD images) from viewing it on our computer and on a printed material.

We listen to our clients needs,plans and desires of what they want to be design, if it is necessary for us to advice our client, we endeavor to do that in a professional way which will make our clients happy and enjoying seeing the final art work.

We are situated in Uganda, Kenya and Tanzania. We also provide online services all over the world.

--------------CAPTURING YOUR GAZE IS OUR TARGET--------------------

Sunday, June 6, 2010

Dixon student from Makerere University.



Kijana Dixon ni kijana wa kitanzania mwenye high personality, nimcheshi sana. Kijana huyu nimkarimu sana na ni mwenye huruma mno. Inafahamika kuwa kijana yoyote wakitanzania haendapo chuoni hapo yeye maranyingi huwa mkarimu kumpokea na kumuonyesha mazingira mbalimbali ya chuo na nchi hio. Nina mengi sana mazuri yakusema kuhusu kijana huyu ila kwa leo nitaishia hapo...