Pages

Pages

Sunday, June 6, 2010

Dixon student from Makerere University.



Kijana Dixon ni kijana wa kitanzania mwenye high personality, nimcheshi sana. Kijana huyu nimkarimu sana na ni mwenye huruma mno. Inafahamika kuwa kijana yoyote wakitanzania haendapo chuoni hapo yeye maranyingi huwa mkarimu kumpokea na kumuonyesha mazingira mbalimbali ya chuo na nchi hio. Nina mengi sana mazuri yakusema kuhusu kijana huyu ila kwa leo nitaishia hapo...

The 1st chros to be establish in East Africa.

Msalaba wa kwanza kuhezekwa Africa Mashariki unapatikana Bagamoyo.Thehebu la kikatholiki
ndilo lililoezeka msalaba huo pamoja na sanamu ya Yesu Kristo. Hapo ndipo Mamishonari walianza kusambaza injili ya kristo kuanzia kipindi cha mwaka 1868, Hivi leo katika nchi ya Tanzania kuna mathehebu mengi sana na makanisa mengi sana.Yatupasa kuwa kiroho zaidi kulikoni kujali uthehebu na ukanisa maana Mungu hataangalia chochote zaidi ya nafsi yako.